Jumamosi 10 Oktoba 2026 - 16:05
Birika ya Jadi ya Iran Ina Historia Ndefu Mara Kumi Kuliko Nchi Yako!

Ubalozi wa Iran nchini Bosnia na Herzegovina wamjibu Marco Rubio kwa kejeli, huku wakirejelea historia ya maelfu ya miaka ya ustaarabu wa Iran.

Shirika la Habari la Hawza — Katika kujibu kauli za Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Bosnia na Herzegovina umetoa jibu la kejeli, ukirejelea historia ya maelfu ya miaka ya ustaarabu wa Iran na kusisitiza kwamba hata birika ya jadi ya Iran inayotumiwa kujisafishia ina historia ndefu mara kumi kuliko historia ya Marekani.

Birika ya Jadi ya Iran Ina Historia Ndefu Mara Kumi Kuliko Nchi Yako!

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha